The Only time a man Remembers All The people he had Slept with is … When his HIV RESULTS are delayed . Unakuanga zile za…wait.brenda hatuku use Cd…but si anakaa healthy…na venye ana skin smooth. Joyce na vyenye ukimwi imejichora uso yake…khai,mayb kiliniambukiza…ama akinyi…si hua naskia walikua wanapush na na ile makanga ilikufanga,na nikichunguza vizuri hakufa coz of menengitis,hako kalikua kamdudu… kwisha. Mara hiyo hiyo unaskia jina yako…uendee results. … kwanza unajifanya hukuskia,ana repeat… Unajijaza unasema…hakuna atakaye kufa mara mbili… hata sio mimi tu…Aaaii…siogopi… kwenda kusoma results… unapata ni NEGATIVE… mpaka unahug nurse na kila patients hio hosi…Then unawalk home like a Comandoo ukijiambia kimoyomoyo sitawai fuck tena… saitan!
u
Just come out of the closet and accept your fate. LUWERE
p
U
Hehehe…You remind me the HIV awareness movies walikua wanatuonyesha high school vile tools of reproduction zimeharibiwa na mdudu (Virus). msee alikua anakunja mkia, unajoin CU then unabackslide next time when girl school came visiting ata kama ni the following day.
And then after a month amesahau… back to his old ways…humanbeing is a forgetful animal
Mimi ile hosi nilienda last ni ya gava na kuna police station huko ndani… I swear niliingia kwa hiyo mess/canteen ya makarao nikaitisha crate mzima ya Guinness. Walinipigia hadi Salute. We drunk till late
UMEFF
Hii tuliona kabla PrEP ikuwe available to the general public.