Ukilipa Stima Ya Ksh 3,000 Unapewa Units Za Ksh 1,050, While Ksh 1,950 Goes To Levies. RUTO MUST GO

Even if it takes three years of nonstop maandamano, we will not relent.
Two thirds or 66% goes to taxes and you get 33%.

This is over taxation

Electrician toboa

In kenia you pay taxes… Then get the services as a bonus

Indications of a stabilised ecomomy.

Ruto must go where?
Go where yet Kenyans made him their leader? Anapiga kumi clean.
And you know what’s better? He has the support of the Slaveowners. Therefore he can raise electricity, water, education, food and even send money to counties when he wishes to do so. He’s not going anywhere.

Mtado?

Election mode just like Nabii did to Uhuru.

Hustler anajua Chenye anafanya.

Wewe ni sokwemtu kweli. Hii haikuumiza enzi za Mlevi1? Sahii ndio umeamka?

Haikuwa 66% taxes

RUTO MUST GO, we will sustain the demos for 5 years if need be. From next week it will only get worse. Si ushaona mjinga Gachagua ameanza kusoften his stool? Mambo babo

Nasupport ojinga maandamano as long as itakuwa violent, malema alifanya choir pale msanzi bonobo zikamsifu sana.

Kama jaluo hajakula teargas afadhari niweke wrestling napendanga ile ya akina shawn michael na undertaker.

Nakuanga na hii fantasy ojinga akichomoa kimwili hapo juu ya gari d minus mmoja arushe tear gas iingie ndani tuone.

Jakuon should tell people to turn off electricity. That way you punish both the supplier and the govt. Ukienda maandamano na jioni unawasha TV na pasi, nothing will change.

Unataka turudi kwa misuma

I noticed yesterday that power is now at 28bob per unit. I wonder how small businesses like bakeries, salons etc will manage with such costs.

hasora ni mwizi

Temporary discomfort for long term gain! Do you remember a walking nation? Watu walitembea wiki tatu na reform zikaingia