Zi, hao ma boyz huwa roho safi sana. Kwanza wakujue.. unapewanga protection ingine wacha tu. Huwezi ulizwa hata na mtu.
Tunaenlewa wewe ni mzimbiti wa Jonsaga na Koch
@johntez_addi_gaza_ms alishandwa ama alijificha wapi
Really? So unapewa protection from who?
@Yuletapeli ni fala wa ocha kazi yake ni umama tu akitoka kazi ya donda.
Kama kuosha kamisi ya okuyu, kuchagua ndengu na mchele na kuosha vyombo jikoni.
ukiibiwa simu, unatafta headboy wao anailete
Wamejaa calabash

@sokwemtu ni featherweight kwangu nikiamua ku unleash missiles
Kila msee kwa mtaa, huwezi ibiwa, watu wako related na wewe hawawezi ulizwa… hata utikee shughyli lare.. watakuzindikisha hadi kwako..
Protection from?
Huwezi handwa na mtu.. hata ukiingia late hours.. utembee mguu kutoka stage hadi pale una stay. Ukiwa na gari haiwezi ibiwa kitu..
Protection from raia.. wewe ndio bazuu bora wanakujua
@Yuletapeli receiving strays utafikiria yeye ni Kabahanye bibi ya Diana
Hawaamimi mimi huwa bazuu niki land Eastlands where I grew up. Sasa ningejitupanisha nifike grao hata sita watch game na amani. Na by the way hio “aura” nilikuwa nayo hadi nikiwa mless, tungeenda game hata sides za baba dogo ama koch, nichezewe mbaya ungeona jeshi imetoka na huko nje inazusha… [naangaliwa tu ama juu I’m half junguu
] wife huniita “a man of the people”. Ni politics huwa sina otherwise ningekuwa nimejaribu hata kiti ya area chief banae ![]()
Mutu ya watu.. hata si unaona leaderboard niko tu pale juu making noise every kona
