Ujumbe wa Kutiana Moyo Kutoka Kwa Mwenzetu MMM

Kutokuwepo kwa JF kunawaumiza wengi ambao walikuwa wanaripoti pale kila siku kama kuchukuliwa “roll call”. Niwahakikishie tu kuwa JF itarudi, ila itarudi kwa namna ya tofauti ili iendelee kuwa huru. Hata ikibidi kufanya maamuzi magumu. Upande wangu na wa baadhi ya marafiki zangu ambao tulianzisha mtandao huu na mingine tunafikiria kuchukua njia njia nyingine maridadi. Msikate tamaa wala kuumizwa sana. JF haijafungwa na serikali, tumeifunga wenyewe (wanachama na waanzilishi) hadi tuone namna nzuri zaidi ya kuirudisha ikiwa huru, yenye kutetea uhuru wa maoni na habari, na haki ya wananchi kupata taarifa kutoka ndani ya nje bila mazungumzo yao ya faragha kuingiliwa kati.
Mzee Mwanakijiji

C&P

Amen.

ata sijaelewa sijui kichwa kikoje

bora waka isajili nje ya tz

tupo pamoja sana, nimepata shida asee ikanibidi nijisajili insta kuifatilia JF ikanishinda bora imerudi humu

Cha mdeko

Mlete mzee wako Wa matunguli

Umshtue na saint ivuga

Hahah!!

Majukumu tu

Wewe ni nani?

Mzigua ndio aliniita hapa.
I love her so much.
Asante pia kwa kunikumbuka.

Ila una roho mbayaaaaaaa.
Yani ushagua hadi senior na huku iambia

Enda huko.
Inabidi tuongee kinairobi jiwe asije akatukamata

Mmmmh

Usijali

???

Mke atekwe nyara, halafu akwambie eti amejiteka atarudi salama!

Ndo hii.

Huyu mtetezi mkubwa wa dikteta Magufuli ndo wa kusema haya?

Nitakuelezea kipenzi changu:cool:

haya kipenzi

cc @Don Clericuzio

if i can’t