Nimeoa na niko na mtoi moja sa pahali naishi kuna kunguri flani mrembo na anaishi na bwanake na wako na watoto wawili saa tumezoeana nae tu kama majirani.sa kinacho nishangaza juzi kanikuta kwa nyumba alone akaanza kuleta sitomfahamu ati anajiskia na mimi tuingie uwanjani nikmshow cwezi ju bwanake pia ni beshte yangu, sa leo tumekuta kwa kiichoro akanishika cha nguvu ikabidi nitafute njia ya kumsepa nikamsho tumeet jioni sa nifnyeje hebu nisaidieni wana kijiji
I need to revise my circle of associates.ulifika wapi kimasomo na usidanganye tafadhali?
Huyo ni Saitan Mwenyewe. Achana na yeye kabsaa
Form 2 mbna
When do you swallow your saliva while talking. Fullstops,commas.
Mshitaki kwa bwana yake
Ucjali ni venye ucku nililala fofofo,ckula daku na saumu imenikamatia chi I mapema.
Cngependa kuwagombanisha, juu I knw lazma nikimwambia ataenda mtetesha.na nataka kutafuta suluhu mwafaka
Weka hiyo sentensi kwa accent ya Kidigo ya udaku
[ATTACH=full]171673[/ATTACH]
[ATTACH=full]171674[/ATTACH]
Were you born this thick?:meffi:
tomba nyoka kesi baadaye
Kamwambie Maina Kagayni na Gidi na Ghost
nimeachia hapo kwa sitofa something… stick to your wife bruh
Huu ujinga utaisha lini ktalk??..wacha niende raundi kenyaspot nione kama people on my level wako huko…hii kijiji imekua na handles fulani hazileti shangwe…
Endelea kutafuta utaipata kwenye kidonda, unaufahamu msemo nzi kufa kwenye kidonda?
Ooooooh!
Oooh
U are either a fag…or the lady is on a “i wont die alone” mission…choose one.
Ghetto luv!