Hii watu ya maneno mingi eti hii tuliona mkae kando.
…
Nkaissery added Biwot:
Lucy kibaki:typing…
Fidel odinga:admin uyo ni nani???
Biwot:we fidel hutambui sonko
Fidel:typing…
Nkaissery:@biwot wamesema aje???
Biwot:aty uliogopa raila ukajifanya umekufa
Nkaissery:typing…
Prof Saitoti: heri mm nilikufa na chopper… wengine viagra, wengine ati food poisoning… uongo tupu
Mutula Kilonzo: typing…
Orwa Ojode:Welcome to the polital ground spiritually Biwot…
Mutula Kilonzo:Saitoti tusizoeane.Ulinipea viagra.
Nkaisery:Relax guys.I’d rather die than seeing you people argue here.I will use my security to shut you down.
Jomo Kenyatta typing…
Lorna Laboso:Saitoti unadhani niwewe peke ulikufa na ndege.Ata sisi tuko hapo…Ama niaje Kones
Kipkalia Kones:Waambie Laboso.Wasituletee
Fidel Odinga:Ziko wapi hizo ndege sasa choke.Saitan
Jomo Kenyatta:Na mifugo yetu haraaaaabe
Biwot:Old
Jomo Kenyatta:Wewe una kiherehere sana Biwot.Ndio umeingia unaleta ujinga.Tutakufyeka.
Biwot:Old as Dedan kimathi.
Dedan typing…
…
Oginga Odinga:Whats not happening here.Whats up with kuagmaya and the krincum kramcam oractae finyopithelos matimore kae jowadwa.
Tom Mboya:Ask them jaduong Oginga.Koko tu.Theyre so sambalasticaky proctigous maklementos pin bi bracholus.
Dedan Kimathi:Hizo ndo nini
GG Kariuki:Woi hizo ndio nini.Siwaerewi
Mutula:Hata sisi hatukuerewi
GG kariuki left…
Nkaisery left…
Dedan Kimathi:Hao wanaleft wakienda wapi.Wanadhani watafufuka
Wangare Maathai:Admin add them back
Njuri ncheke added Nkaisery…
Njuri ncheke added GG kariuki.
Lucy Kibaki:Sasa mnaleft.Mnaleft mkienda wapi.Wajinga nyinyi.
Nkaiseri:Kukushinda???
Musa Juma:Jodala.Rhumba matata.Keso mm ako club wilderness.Vip ni 5000 tu na regular 3000…
Alshaabab:Aye…Mimi hatakosa huko Juma.
Lucy left
Jomo left
Oginga left
Fidel left
Mutula left
Musa juma left
Kones left
Laboso left
Kimathi left
Tom mboya left
Nkaiseri left
Njuri ncheke left
Martin Luther joined using the group link
PART TWO LOADING