ujinga uso-kitabu

Bae aliniambia anakam na akadai nimpikie
kuku. Sababu ya msoto singeafford kuku
nkakimbia kwa ule msee anauzanga pieces za
kuku (spare parts) nkabuy miguu, mabawa,
drum sticks, shingo, kichwa, yani nkishikanisha
itakua kuku full. Mimi na kiherehere yangu
nkaziweka kwa basin ati akam apike.
Nkajichocha ati venye imenisumbua nkiichinja.
Nmeskia amewika, kukimbia kitchen ananiuliza
kwani hiyo kuku ilikua na miguu tatu, ndo
nmekumbuka sababu mm ni customer
aliniongeza mguu moja!
Nmejifanya simu imelia
Bado nko nje nkifikiria ntamwambia aje!

kuku wageni hukaa palee--------------------------------------------------------------------->

hehehe nyang’au hii!!!

:D:D:D:D:D:D:D:D

PATIKANIWA.;…

Face her mwambie tu vile iko, kama ataelewa sawa. Akijidai ni bei ya juu chukua slices nenda zako.

Na kamba mguuni!