ujinga in the name of Saving

Sasa Leo Nilikua nimeenda kubuy supplies huko river road since mtaani ni expensive sana.

Kufika kwa Karis hapo Dubois road ( a one stop shop for all my products) nikaskia kamkojo. I had two options

  1. Niende choo ya Kanjo nilipe 10 bob

  2. Niende kwa brothel flani hapo Kampala coach nijisort nikisafishanga macho.

You guessed right. I opted for number 2.

Mimi huyo hadi kwa brothel nikakojoa na kupita squad moja kusafisha macho. Vile Naenda tu kutoka, kwa stairs nikaskia commission. Kumbe ma polisi wa prison walikua wamekuja kufuruga Watu. Ati Ohhh hawajapewa yao so wanakamata wasee. Majamaa Wawili walikua front line washawekwa chengerere.

Nikaanza kuni Uliza nini sasa ime nipeleke huko. Karis naye simu after every 30 seconds. Ohhh ati wanataka kufunga duka wanede nominations.

Finally walipewa.yao wakaenda. But I wasted a lot of time

5 Likes

Moral of the story???..

1 Like

Kweli wewe ni mjinga

1 Like

Haya hizo mbisha zi come

1 Like

Wewe na kondoo hakuna tofauti :smiley:

1 Like

mbisha pia sisi tusafiche masho:D

Naona kama ni huyu Karis.
[ATTACH=full]95569[/ATTACH]

1 Like

:D:D

si ujinga, it’s being at the right place at the wrong time

1 Like

Peasant detected… jinga kabisa

Huyo Karis Akunywe Pilsner 7 sio hizo za zamani

Izea

Izea mtu yangu…chorea iyo base…niliichorea pia after kunaswa na karau zingine hungry zilianza ku frequent io base.

1 Like

wewe ni nongwe

Hehehe! Cheap is expensive.