Uji power

Beside uji power, what other natural connocotion should I go for ? @Field Marshall fee free to advise, ata matusi nisawa !

Spoonfull of Black pepper in glass of warm water… it helps with blood flow to your mjul.

Avoid sugar, coffee na kitu yoyote inakaa ama kunuka kama chai at all costs . Take warm water in the morning…After 15 minutes piga mayai mbili ya kienyeji kunywa thank me later

Lamba dew asubuhi iko na vitamin k2

Cut like 2 bulb onions, a ginger piece and 4 full spoons of honey .
Blend them all together and drink

@FieldMarshal CouchP

Hizi jibu zote umepewa…kunywa tu uji power pls. Conception zingine ni dawa ya kuendesha

Mwili ikikataa imekataa wacha kutusumbua na maswali ya ujinga

Why Coffee?

caffeine increases the occurrence of reflux acidity…with that performance declines

Cold shower in the morning. Ongezea mayai ya kienyeji

Mboro ikikataa kuamka, anza kuuza diff.

Where do you people get uji power?

Piga tizi kula fiti.Uji na any other advise yenye utapewa yiote ni temporary solution.

Senate is truly done for kama huyu semi-literate Senator amekuja kuuliza vijana story na “connocotions” za senility-associated ED.

Na hii topic mnaipenda niaje. Anyway. Pasting again
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/tips-for-maintaining-an-erection.249153/post-4065187

Jaba na chrome

Jaba nilisikia huzima machine.

concotion zingine za talkers utaishi tu kwa choo

malisaa
wildfireuv.gifwildfireuv.gif