Uji power ni nini..

Sokwemtu nini hii …

iyo ni wamama hujua kupika,ni poa kama wewe ni mtu unapenga kudinya, unakunywa calabash moja kila siku

Usiweke sukari

https://www.youtube.com/watch?v=S5rNiqmGre8

https://www.youtube.com/watch?v=xUhblM7GCsw

https://www.youtube.com/watch?v=_0NYyBLAI2o

https://www.youtube.com/watch?v=K2hxZqWxyiA

Hii kitu nimekunywa juzi,saa hii mnauliza kama iko na hanjam ,it must be true ju nimepitisha threshold yangu ya 0 to 3.453 sekends njoti shot to 4minutes+. Uji iko fiti sana

Hio uji ukipata yule anaweka njugu na maziwa kiasi inafaa iko sawa sana. Ni meal mzima.