ujanja ya wanaume

hizi ni theory zangu nataka ziwe tested:D

ukitafuta wife material…ita dame yako sleepover alafu ununue mamovie kali. then uambie boi wako akupigie simu kitu 4:30. then ambia bibi kuna beste yako amekuita umhamishe…toka enda zako uzurure kabisa urudi 08:54pm…ukipata uyo dame bado ameketi kwa sofa…something is lacking there.

kama una mpango wa kando usimsave kama Mpesa:D msave kama Peter Internet…then incase akikuuliza kwa nini whatsapp yake ina mbicha ya dame sema uyo ni dame yake.

ni maujanja gani zingine nyinyi hutumia

Ukiinvite dame lunch akuje na mabeshte zake, don’t be disappointed. Ukikuwa mjanja utakula hao madame wote. What you need to do is welcome them and treat your lady nicely in front of them mpaka wasikie wivu. Then make sure you get the names of all the friends and what they do.Kama una biashara give them your card and make sure wamekula wameshiba.

The underlying principle here is that friendship between women doesn’t last long. After kitu two weeks unauliza your girl, ule beshte yako wa coop bank aliendanga wapi and she will be like huyo we don’t talk nowadays…baaas… this is your opportunity to call her and act as the UN special envoy looking for a solution. You call the other lady wanting to know what happened bla bla you play it well and in no time she will be riding yours :smiley:

41 Likes

Hapa umeshinda. Ufisi 100%

1 Like

Boss pewa na bill ni inbox. Like nimekupa pia kama bonus

1 Like

Enyewe that’s how a virus works…eh eh noma sana

1 Like

kama uko na bibi na kazi yake nikuleta majirani kwa nyumba…na wewe hupendi izi maneno…usipigishe bibi makelele mulize eeeeh na kwani mama boi huenda wapi saloon…obvious atauliza kwa nini? unamshow kuna vile she is always smart na pia dress code yake hunibamba sana…>>dat the end of mama boi kuja kwako:D

kama uko na mpango wa kando save yeye kama China Importers incase akupigiye usiku, unamshow wananiambiya mzigo yangu imetumwa unajuwa china wako 5 hours ahead kwao ni mchana saa hii:D:D

ukipataa lanye insist untakaa ku DF lanye ikilenga kabisa sema utaongeza yeye 1k extra akikataa kabisa juwa iyo lanye haina STD ama UTI
lakini ukiongeza thao ikubali …run nigga run :mad::slight_smile:

18 Likes

you are one dangerous ninja hahaha

Ningeeka hekaya, but The Virus amesema yote. Ata mimi nimetii apewe kwa bill

1 Like

Hehehe @The_Virus that one I must try.:smiley:

but for the virus manual to work you have to be one very cool customer.
and very patient hyena or it will blow up on your face like mayeks bombs

1 Like

@The_Virus ni fisi reloaded.
:D:D:D:D

2 Likes

weka hekaya

1 Like

Works when no drinks involved…coffee,food and that crap. Ladies tow their friends when on a drinking spree. Try be nice to your chic and they will insult Na kukumwagilia hiyo tei ume bought

1 Like

doesn’t hurt to try

hii ujuzi inataka uandike kitabu

2 Likes

Somebody’s wisdom is conspicuously missing here! Or is it that SJ et al don’t need any Ujanja?

1 Like

@The_Virus hapo nime learn something :slight_smile:

Lazima nirudi 08;54pm?

Virus apewe award bana…iyo ufisi…thumbs up man

Upus