Uingereza-Familia ya kifalme yajiandaa kwa harusi ya kishoga

The royal family is getting ready for its first same-sex wedding as Lord Ivar Mountbatten prepares to tie the knot.
The Queen’s cousin, who has three children, came out two years ago and he’s now set to marry his partner James Coyle.

It’s the second time Lord Ivar will say his vows, and in an incredible sign of support his first wife Penny will give him away on the day.

The couple are planning a very small ceremony with just very close family and friends present.

But afterwards there will be a big party with about 120 guests to celebrate their marriage.

mambo ya ushoga jiwekee

Germany imeoneshwa haijui leo na mekiko

Astaghafir

wapigwe tu, maana hakuna namna.

Calamities will never end in this world.

Baba yake Lord Ivar, Lord Moutbutten aliuwawa na wana harakati wa Ireland. Alikuwa binamu wa karibu sana na malikia Elizabeth.

Mpaka anaolewa ujue malinda yamekaatika kabisa kabisa.

Mmmh

Hawa ni wakukatwa vichwa tu, na maiti zao kupigwa risasi 24 kila mmoja kwenye hazara ya watu ili kukomesha kabisa mtindo huo.

Dunia imekwisha…

Uhuru wa kuamua.

Uhuru mwingine ni wa kishetani.

Ndo ishatokea sasa.Ni haramu kwa mtazamo wa wengi kama kunywa pombe,kuzini,kuroga n.k.

Mkuu, unawaonea donge nini? Watu mikundu yao wenyewe lakini unaumia wewe.

kinachoendelea kwa sasa duniani sio kwamba watu wote wanaunga mkono ushoga, lahasha! ila ukijaribu kupinga hususani kwa watu maarufu basi vyomba vya habari na mitandao ya kiliberali vinakuharibia maisha yako ndani ya muda mfupi tu. So watu wanaonesha support ili kulinda umaarufu, vyeo na biashara zao.

patiana yako bila kusumbua

Nimemkumbuka mwanangumi wa Ufilipino alivyokataa kuunga mkono haya mambo hapo hapo yale makampuni yaliyoingia naye mikataba yakasitisha mikataba yao na jamaa ili kulinda biashara zao.

Unachosema ni kweli.

Usipoziba ufa, utajenga ukuta

Mi sielewi, sijui ndio umeandika nini!