Uhuru VS Dr. Luther: Round 1

Kapsaa.
Ndio hiyo.

2 Likes

:D:D:D Mwenye alikuroga alikua anajua kazi yake

2 Likes

Hii ni RKO aki. Nimekupea like na hata hiyo CBA agreement yetu nimekubali kusign. TATA nitarudisha kesho. Wacha imalize kazi ya Leo.

4 Likes

He he he he he…Jamaa, siku moja utatumaliza kisiasa

1 Like

Hio macho ya uhunye weka ikuwe nyanya.

Sasa next week nitacheka nini, na nimecheka yote hadi ya wiki ijayo?

5 Likes

lexicon pap

3 Likes

:D:D:D:D:D kweli si babangu! Eti kusafishwa macho?:D:D:D:D:D

5 Likes

Daktari njoo hapa kuna mtu na leta heshima ndogo.

He He. Eti unaulizwa ‘do you want cheese with those demands?’
Hapo unasema wacha CBA ikae na kurudi job mos mos kama ume tuck mkia.

4 Likes

Mpaka spongebob t shirts, shait

1 Like

Hii picha :mad::mad:

1 Like

Dkt alisema hana story na gari. Tuseme VIP parking ni ya skate board. This intovert character is certifiable. Saitan.

3 Likes

:D:D
What, because I have drawn Uhuru’s hand with 6 fingers na hakuna mtu ameuliza why?
:D:D
Shait.

2 Likes

hehe…i jus wish uhuru angeanza hii moto mapema…i find it too late that even the doctors are tired

Waah sijui kama ni kujaribu WD40 hio sikuwesmek ! why lie.

1 Like

Jana I posited had Uhuruto stamped authority once elected this wd never have happened.

:D:D hiyo sikuwa nimeona.
Ni juu umechora daktari akiwa na issues na coordination. Huko ni wapi amepoint?

SHAIT!!! Oluga’s nose

:D:D:D:D:D:D:D:D mimi ni mmoja wao