1.Alihonga Eugene Wamalwa na kiti ya CS sasa ameita ODM rebel MP Pale State house Mombasa akampa bahasha imejaa kibunde la pesa. Uyu MP alitoka State hse shining his eyes akaenda str8 kwa kibanda ya mnazi. Uhuru pls stop using EuroBond stolen money to buy opposition…karii kii Mr one term mungiki president?
[ATTACH=full]26158[/ATTACH
2.Juzi uyu uyu uhunye amelipia ule mkamba Alfred Mutua uyu poko am Dry fry ndio Mutua atukane mzito
kalonzo
[ATTACH=full]26159[/ATTACH]
mimi nataka ani honge na hiyo picha ya mwisho
unataka picha ama mtu?
:D:D:D:D:D:D
Woooow…Hata RAO akihongwa na hiyo atasema punda yuko poa and can wait to 2022
Mbona wame Edit hii thread!
huyo mtu alikua hapo lakini the Nazi SS guards wa kijiji wametoa bwana
WTF!!!
Rolling my eyes…same old shit ,just a different day
Wamengoa the climax of this thread
Mnacheki @pamba hapo nyuma shining his eyes?
Pole… Atleast nimeiona kabla ya kung’olewa… Sad, because this would have been the one thing that you would have taken a common position with your bro Uwes
:D:D don’t be too sure kumbuka uwes na mifupa ya mbwa in real life that hates mifupa ya mbwa na hiyo picha ilikua na mafupa tu according to him
:D:D:D, I just want to look at it one more time
Brown envelope things
[ATTACH=full]26161[/ATTACH]
rudisha hako kapicha ki-sniper
kama ni tamu…
Jirani rusha hiyo mboto kama bado wamesleki
I hear Ruto’s own blood brother lives like a pauper. Jamaa ata haezi kum hook up na ka job kwa ministry or parastatal. Or ampatie katender fulani ata kama sio NYS. Ni kweli Kibet?
Luhya Mps given Sh100,000 while Kalenjin Mps were given Sh1,000,000 kwa envelope
Kaa kando na mambo ya Familia, it’s all about politics