Uhuru, Ruto make more kenyans poor.

Uhuru, Ruto impoverish more Kenyans - report | Nation

According to the Kippra study, Wajir residents are the most affected, with 94 per cent of households living in poverty. Mandera County follows closely with 92 per cent of its residents poor. Turkana completes the list of the worst three counties with 91 per cent. Marsabit, West Pokot, Bomet, Busia, Kitui, Samburu, Siaya, and Migori counties have between 80 and 88 per cent of their residents living in multidimensional poverty.

Toa Ruto kwa mdomo yako, wakenya wakizaana kama panya wanaexpect maisha ikuwe aje? Mzee Jomo Kenyatta alisema watu warudi mashambani walime, serikali haitakupea chochote.

Siku Sugoi alipewa ministry…iligulwo! Waligula! Tuligula!! now imagine being given the country

wewe ni mgeni kenya? wakati wa Kibaki ministry ya Agriculture chini ya uongozi wa Arror ndio ilikuwa ministry bora zaidi. Zile college za kiufundi zenye zinasaidia vijana wetu ni matunda ya uongozi wa Arror akiwa kwa ministry ya elimu ya juu

100% Arror is the best hes into Agriculture