uhuru na wameru

lakini pia unye alikaa tu chini akaona hawa wameru wacha tu niwape 3b za miraa watulie…na ukaona venye walisherehekea…jamaa alipata kura ka sjui ngapi toka kwenu term ikiisha ndo anawatolea kakitu ka kuwafunika macho.lol

iyo ni madharau mbaya sana

He he. How was the money disbursed/used?

1 Like

hii pesa ni wakubwa wamegawana in disguise ya “miraa” if at all imepeanwo. Miraa kitu gani.

true hio ni pesa ya campaighn imepatikana

1 Like

Positive news… Wacha serikali itoe pesa kwa wanainchi