[MEDIA=twitter]1507638625202499585[/MEDIA]
Poverty makes Mohamed eat pig. Guys work hard wazazi wenu wasikuwe wanavalishwa ngozi za wanyama na kubwebwa na school bus usiku wa manane kupelekwa statehouse ndio wapewe 2500 bob.
Hehehe. Wacha matusi bwana. Hata hivyo sisi tuko na Agwambo hadi kwa debe
si mbadilishe tu katiba uhuru aendelee badala ya kupigia puppet yake?
Sisi tunataka Agwambo atawale
Atatawala aje na ni puppet? Mnafikiria Uhuru ni fala? Anawaste pesa yake akisukuma Raila akuwe president? Do you think the Kenyatta family has risen to where it is today by being fools?
Sheikh hii maneno ya siasa usiweke kwa roho, weka kwa lungs.
They decide for who?
2013 hii info yote hukuwa nayo?
2013 Arror ndio alikuwa anaendesha serikali, ile wakati alijua president hana nia mzuri kwa wakenya, akakata io urafiki, akaunda chama yake ya UDA
Did Arap Mwizi return the sambut he had stolen from that kalenjin mzee?
wasapere wako na Azimio
Wueh. Uko serious?
Hawa wazee wataaibishwa na vijana mbaya
Sisi tuko Assimio na Baba