UHURU KENYATTA'S EMOTIONAL SPEECH THAT MADE TANZANIANS CRY DURING THE FUNERAL MASS OF POMBE MAGUFULI

https://www.youtube.com/watch?v=IJdsfStbykI

Kiswahili chake kibovu. Hotuba nzuri imeharibika kwa sababu a msamiati hafifu na kuchanganya ngeli. Nimepa 3/10.

Yani huju jamaa amesema yeye ni “mwenyekiti wa Afrika Mashariki” :D. Hilo ni kosa la kimsingi. Alitaka kusema yeye ni Mwenyekiti wa kundi la viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ameleta aibu kubwa kwa taifa letu.

I don’t listen to him

I was surprised by the Mozambique president’s fluency in swahili - though nimeona alisoma his primary education in Tanzania

Best speech I have heard in a long time

Unazikwa siku gani…

:D:D:D

I’ve watched waaaay too many Italian Mafioso movies not to see a rub off when I see one.

We kufa bana