UGENINI NI UGENINI! RUDI JF YETU YA NYUMBANI

Nyumbani ulikuwa ukiacha kuingia JF say a day, unakuta alerts kama 100+! Leo huku ugenini alerts kwa siku si zaidi ya 10!
Uzuri wa huku, among others ni kuwa unaweza ku-edit heading ya thread yako!

Kwahiyo mkuu tufanyaje?

sio tu ku-edit heading,hata ku-delete ukitaka unaweza kufanya hivyo.

shida ya kina max na jf yao, wamejipa majukumu makubwa mno ya kuhodhi content yote. hawajampa author option ya kufuta thread.

Huku kuna tatizo la ukomo wa kuedit uzi au post.

Ukiedit uzi au post halafu ukirudi baadae ukitaka kuedit tena, unakuta kitufe cha kuedit hakipo.

Hili tatizo limelifikisha kwa Mod kasema analifanyia kazi

hope saiv watairekebisha iwe na ivo vigezo.

so far hawa wenyeji wangu hawajanitishia na BAN hata moja
this is what i call freedom of expression(unless hawajui kiswahili tunachoandika)

Pia

Ukumbuke kuwa members wengi hawako huku,ni wachache wabishi ndio tuko huku.Kuna kitu kinanitatiza,sijui ndio ugeni wenyewe,niliwahi ku upload picture mara moja tu,sasa hivi kila nikijaribu inakataa…

naona JF (TZ) bado imebuma… hakuna thread wala post mpya tangu irudi hewani.

sasa sijui kwa nini maana nilitegemea walau wenzetu wenye real IDs walianzishe (@Allen Kilewella & @Pascal Mayalla kulikoni wakuu?

Hivi unadhani JF ikirudi utakuwa huru kama mwanzo? Acha tuendelee kujimwayamwaya huku ugenini…

Baada ya kuja KT ndio tumegundua kuwa hii kitu ni bora zaidi kuliko JF, hata walioifanyia zengwe JF wanajilaumu kwa kufanya kosa kubwa kama hilo.

kULE Nyumbani msichokijua ni kuwa Vibaraka wa MACCM walishaiteka JF.

Kule JF nilipigwa ban kwa mara ya kwanza nilipofafanua ugonjwa wa Mtulia

Na walikuwa wengi, sijui ndio mapato ya buku saba…maana si kwa kutetea upuuzi namna ile.

Ha ha ha hawakaona Dr umetoa siri za mgonjwa wako.

imagine issue ndogo kama hiyo mtu unapigwa ban. max ana la kujifunza kupitia kenyatalk

Nadhani bado manake nimejaribu pia

Nakubaliana na wewe by 100%, lkn iwepo mtu utakuwa unaamua wapi uweke Nondo wasizotaka kuzisikia.

Wewe ni mmojawapo wa Lumumba, una ubishi gani Wa kuwa humu ndani?

Huku wamekuja wachache sana! hata wakibadiri ID, utaona content za post kuwa ni hao hao.

Huku hata kufuta unafuta bila waswas yan