Ugandan cop spotted with the ugly Kenyan anklet

[ATTACH=full]335972[/ATTACH]

It could be one of those east african bands mimi yangu ya Kenya hata niliikata. I cant believe i wore that shit.

Meanwhile wakenya na fashen…
[ATTACH=full]335975[/ATTACH]

Hio inaitwa bracelet…anklet like the name suggests huvaliwa kwa ankle.

Wamecheswa jouganda

Leo umepost kitu ya maana

why did you wear it back then? ama mbona waKenya wanapenda kuivaa?
mi huona watu wamevaa nashindwa kaa ni secrete code (watu wamelipa loan ya china…) mimi ndio niliachwa nyuma

Hurumia hio standard two dropout.

kuvalia izo upuzi zinavaliwa na uhuru ndio imefanya wakenya wawe kama kondoo. vitu demonic

Patriotic sheep like to wear those pieces of crap

Just in case you forget which country you’re from, you look at you’re wrist and remember.

I celebrate this, it’s the spirit of East Africa. If you were to list Kenya’s friends, which countries would you place as the top three?

Adi ass-holer man huivaa

Hapana mwizi wa sugoi huvaa watch only. Yeye hawezi vaa vitu za ushirikina

[ATTACH=full]336116[/ATTACH]

[ATTACH=full]336117[/ATTACH]

[ATTACH=full]336118[/ATTACH]

[ATTACH=full]336119[/ATTACH]

[SIZE=7]Hustler[/SIZE][SIZE=6] : Slang. a person who employs fraudulent or unscrupulous methods to obtain money; swindler. Informal. an expert gambler or game player who seeks out challengers, especially unsuspecting amateur ones, in order to win money from them: He earned his living as a pool hustler.[/SIZE]

[SIZE=6]2. Famous American porn magazine published by Larry Flint.[/SIZE]

[SIZE=6][ATTACH=full]336122[/ATTACH][/SIZE]

[ATTACH=full]336123[/ATTACH]

[ATTACH=full]336124[/ATTACH]

[ATTACH=full]336125[/ATTACH]

[ATTACH=full]336126[/ATTACH]

Unaona nini kwa mkono ya Ruto?

Umesema kuvaa vitu ziko na flag ya Kenya ni ushirikina demonic. Ruto huvaa flag mzima kwa kichwa akienda kuongea na voters…

Na kwani madimoni hukaa kwa mkono pekee??

Haziwezi fungwa kwa kichwa kama kofia?

Ama wewe unajua tu madimoni za mikono?