UFC 287

Stylebender atawezana kweli? Perreira has owned the nigga severally. Maoni?

Pereira in under 3

Adesanya will win if he manage to avoid that right hand.

Ni saa ngapi

Adesanya to lose.

Easy needs a win

Perreira is too strong banae, the only way Eazzy angeshinda is if angejua wrestling

5AM maasubuhi ya Sunday. Siko sure main card iko exactly what time but hiyo masaa.

am not a ufc fan but was excited by the recent merger with wwe thoughts we would have a blockbuster show that featured athletes from both companies
wwe is not short on talent
roster ya wwe ya mma
0)Bobby Lashley
1)Blocklesnar
2)Matt Riddle
3)Shinsuke Nakamura
4)Ronda Rousey

The last fight sylebender was beaten like a burukenge. Hata hii sioni hopes.

Zi he dominated his opponent kabla apatwe vizuri. Kwa game zote zimekuwa tu hivo. Ni huyo jamaa akona Ile bahati ya kumshinda. Kesho easy will win

Let’s wait. Can’t say I felt bad for Izzy, anakuanga na kiburi excess.

Hio kiburi ndio ufc CEO anapenda hio ndio inaleta pesa. Imagine a polite,quite champion…hawezi sale tickets.

Hehe enyewe iyo ni ukweli.

Adesanya better win.

Nimewekelea bet Adesanya…iungue ama sherehe

Wueh. Pereira is no joke.

Mission accomplished

Huyo ni Demetrius Johnson…
Alionyeshwa mlango injee…

Adesanya amefanya kazi safi sana
[MEDIA=twitter]1644930103065862147[/MEDIA]