[ATTACH=full]103059[/ATTACH]
@Fala 12 akifanya precision engineering…
[ATTACH=full]103060[/ATTACH]
@Bingwa akishafuturu pale maskani…
[ATTACH=full]103061[/ATTACH]
Jana @Some Say aliingia keja akiw amechoka, akaishia tu kudoze
[ATTACH=full]103062[/ATTACH]
Special appearance kwa Ufala SACCO is Caro who behaves kama ule jamaa wa ma-gibleys…
[ATTACH=full]103063[/ATTACH]
Vijana walianza kucheza na kinembe (kang’ura) ya ule @Female Perspective kitambo. Siku hizi hata ukichezea ni kama unatafuta Musyi FM kwa AM radio, haskii kitu!
[ATTACH=full]103064[/ATTACH]
@Female Perspective akiitiwa 2k pale 680 Hotel
[ATTACH=full]103065[/ATTACH]
A Cosmas Mutiso Nzivo aka @vuja de producshizzle!
[ATTACH=full]103066[/ATTACH]
Pale kwa parking, @Adeudeu akismamisha mobile contraption yake!
[ATTACH=full]103067[/ATTACH]
@uwesmake amepanda Mvumilivu akija Nairobi, from Chebukaka
[ATTACH=full]103068[/ATTACH]
@Miss Finest Wine akiwa pale Kiambusbury akisindikizwa Kabeteshire
[ATTACH=full]103070[/ATTACH]
Khulichi ameamkia breako na mapema. A fukuza njaa initiative!
[ATTACH=full]103071[/ATTACH]
@ladyp, tuseme unajaribu kufanya nini hapa?
[ATTACH=full]103072[/ATTACH]
@Mundu Mulosi biashara inashika lakini kuna watu kama @imei2012 na @Duke of Busia wanahangaisha kisiagi na vibare unga isibaki ndani juu wanajua monoballer hutumia hiyo imebaki kutengeneza pusaa
[ATTACH=full]103073[/ATTACH]
Munyamaze kuna kitu @Kasighau anasema na mtaulizwa exams.