We all miss our resident caddie jimmy m for all the contributions on tech, don’t we? Miss him no more! Hapa ako pale golf course anafata maagizo vilivyo, eheeeee!
[ATTACH=full]113516[/ATTACH]
@Purr_27 alipatana na @kiLo- ikabidi apike mashakura, especially pilau njeri ilikuwa lazima ikuwe agreeable to either of them, so…
[ATTACH=full]113517[/ATTACH]
Najua amepika mapochopocho akiota ka-wedding itakuwa hivi,… @kiLo- ujue lazima ifike hii standard msee
[ATTACH=full]113506[/ATTACH]
@wildfrank amevuta mabangi, na ES @Meria Mata amejaza taksin mdomoni… alafu mambo ndio haya basi…
[ATTACH=full]113515[/ATTACH]
Tikiteta anataka kuenda kutafuta momo lakini khulichi anakula polepole…
[ATTACH=full]113514[/ATTACH]
Lakini hii side nyingine, mama pima @Miss Finest Wine anaangukia stiff porridge with sautéed kale and poultry head marinated in vinegar, garnished with unprocessed guacamole (makondofia) ndio zake
[ATTACH=full]113511[/ATTACH]
Siku kadhaa tumbo iliuma mama pima juu hiyo mix haikuwa ati nini. Kuenda kuona daktari @Luther12, akapewa prescription saa hiyo hiyo, bila stress. Akaambiwa akanunue hizo madawa huko mbali kwa CHEMISTRY, eeeeeeh!
[ATTACH=full]113497[/ATTACH]
Hapa tunaona lorry ya shemeji @Wakanyama ikibeba manure, I mean, zile mashakura ziko hapo juu zikiwa zimeexpire pamoja na kipindupindu zikipeleka huko mbalia…
[ATTACH=full]113501[/ATTACH]
Hii story yote ikiendelea, @culture alikuwa anaangalia mtaa vile inakaa. Anakura tu kwa masho akiwa amejiseti mbele ya keja yake, jug ya uji anasip tu mossmoss…
[ATTACH=full]113498[/ATTACH]
Anadhani ataona kamtu kakipita, kumbe mwenye alikua anangoja, ule @Female Perspective ameenda swimo rive iko hapo kwa kona kando ya market…
[ATTACH=full]113502[/ATTACH]
On that subject, tunajua ati kuna ule @Chloe blondestest of all aliambiwa na @Gio afanyie kuku dressing ili ipendeze, alafu msiseme ati hakufata maagizo. Hiyo ni yenu na watu wa kwenu…
[ATTACH=full]113505[/ATTACH]
Closing the SACCO ni kubwa @introvert akiwa amefika, wacha nimuache na @Chloe asaidiane juu naskia picko ya @Chloe ya mjengo iliuma ngumu akibeba kokoto kupeleka site…
Introfart huyu…
[ATTACH=full]113504[/ATTACH]
Gari ya matam ni hii
[ATTACH=full]113518[/ATTACH]