UEFA MATCHDAy

Niko apa mancave nangoja game ya the mighty gunners vs ile tean ya dagoretti aka ludogrets.
Barca vs Man c is one of the standaouts games tonight Naona Pep akiendea pep after hii game…prediction Barca 3 man C 0.

which game will u be watching tonight na prediction?

Team ya uzitoh vs Dagoretts
[ATTACH=full]65543[/ATTACH]

arsenal fans tulieni inbefore mpatane na a legit team in the cl

Arsenal ishagongwa moja team bure kabisa

munaona vile team ya baba tunaenda? hii ndiyo dfhkm!

Wenger na umama mbona anaweka holding mid wawili ?

woi…tunakamukiliwa bila lube

mbili nunge 15 mins…:smiley:

hehe arsenal wamechora saba wanachapwa kuchapwa

wee guka hujalala? ni 2-1 sasa tulia

Kama team yako haiko kwa UCL tafadhali enda tazama mechi ya Benfica. Hapo ndio team yako ilifaa kuwa ikaamua heri usingizi siku ya jumanne Na jumatano

He he he…

gunners game perfectly poised after first 45mins…defence leo imelala aki

tuko ngangari , hii game tunashinda 4-2

2-2 napenda sana

[ATTACH=full]65545[/ATTACH]

Mkamba ukieka picha, eka na explanation:confused:

:D:D:D:D:D:D:D , manchieth ndio bibi kudinywa mpaka mkia

explanation ya nini si urudi u watch netball sereee

Lakini hii kijana inaitwa Cafu Ni hatali Aki yau!!!
Na hii ngombe ya Wenger inaitwa Jenkison wauzie West Ham