Uefa Europa League

Round of 16

[ATTACH=full]497418[/ATTACH]

arsenal bado tuko? i thought tulitolewa kitambo

Team gani iyo iliwatoa? Mlimaliza on top of your group stage hence mkakua exempted from playing unnecessery games in round of 32

an hii yenye manutd walicheza jana an barca ilikua gani

Kweli kusoma ni ngumu

hii Sevilla inakuwanga na shida gani, si waendee Champions waache kusumbua vijana wadogo :D:D:D:D:D

In the champions league group stage after all the four teams kwa group zimeplay twice both at home & away (6 games) the teams that qualifies as 1st & 2nd then proceed to the next round of champions league and the team that finishes 3rd place in that group is relegated to a lower league which is Europa league.
In Europa league the relegated champions league team are then expected to play the team that finished 2nd in those groups that are in Europa. The winner of that round then qualifies to play on round of 16 of Europa league.

United finished 2nd in it`s group by the way.

It`s basically a round between 3rd place in Champions league group stage & 2nd in Europa leeague group stage

Champions league - 3rd is relegated to Europa League

[ATTACH=full]497428[/ATTACH]

Europa League - 2nd plays with the relegated side from Champions league

[ATTACH=full]497429[/ATTACH]

Hii okombe ni ya team kubwa.
Team njegaa wadau

Hiyo kondoo haiwezi elewa umeharibu wakati kuelezea yeye

Jinsi Man U iliangusha mwamba jana, sioni kizingiti chochote mbele yao.

azande chief, nilikua nadhani Man u waliendelea straight kumbe karibu wabanduliwe ni venye hii season sihjafuatilia sana

Ango hio Cup nikama huwa ni yao