You have a point
Leo hatuji kwamui, there’s always a gap between midfield and striker, hata apewe another season EPL Manchester won’t finish top 4
ama vipii @Electronics4u
Tuko NYUMA YA MANCHESTER UNITED
Usha jinx game, @Electronics4u unaona sasa..
Toa Swara hapa.
Niko NYUMA yako mkuu
Hii hatuwezi win .
Swara yako huwa noma
Naona kipindi ni cha lala salama…
Mlifuta koches ten hug mkaleta hiyo kochez.. gykores ndio alikuwa anambeba pale Lisbon
Its over.. number 17
So true. FINALLY
GGMU
The Kane curse caused the trophy drought
Boring game. Wagonjwa wawili wamepatana. Hapo hakuna team ya kucheza a champions league level of game.
Hapo hakuna team yenye next season in the UCL itaweza kuservive out of the league phase to the knockouts.
Man u waache upuss… hio si trophy ya kulilia. They should be competing pale UEFA…
Man U hapo kuna kikosi ya Champions league ukiona kweli bwana Tapeli???
Nuksi manze.
.. “Team kubwa”
Jina tu. But man u iliisha. Sahi wako namberi 16.. mugongoni…wanaeza maliza 17 walai..