Current Update: The match between Manchester City and Borussia Monchengladbach has been postponed due to a heavy downpour that has rendered The man city stadium pitch unplayable…
The rest of the matches are currently underway…
Updates za game ya PSG?
Wacha tuanze Na za Chelsea
Chelsea vs Couch
Still nil nil…
1 Like
Nkt Wenger… Why does he believe in Iwobi banaa
Mzee amewezwa Na kazi lakini hataki kwenda home akule pension polepole
Monreal analemewa hio wing yake na hapo ndo tulifungiwa
Aurier anatembea hio wing venye anataka Jo…
1 Like
Skia hata commentator wanasema they don’t understand why Wenger is resting players wa maana
Passes mbaya Jo! Yaani hadi kwa box hakuna kitu ya maana inafanyika
Hata Sijui nini mbaya.
[ATTACH=full]57292[/ATTACH]
4 Likes
wenger for life