UCL betting

Ndio mnaanza nyinyi. Mambo ya 3 way gamblers waliacha

Iyo market ya HSH una choose half gani itakua na ma bao mingi mostly odds znakuanga 1.9 - 2

By the way Duke nielezee mambo ya odds naskianga 2.5 ,1.33 what do those numbers mean?

Wewe tupekee contacts za massage parlors achana na gambling

NDIO HII SURE BET

Galatasaray 1X
Barcelona Over 2.5
Atletico X2
Napoli win

As usual…kamoja tuuuuu

Mimi Swansea imekosa, sawa tu…

Mimi nimeshaftiwa visuuri na hizo games za BvB, Barca na Napoli…

Pole bro, kumbe pia Mimi ni hivyo Brentford na Swansea, kesho pia ni siku

[ATTACH=full]194219[/ATTACH]

Weeeeeuee I guess BTTS zote??

Apana, moja ndio ilikuwa btts
[ATTACH=full]194220[/ATTACH]
Hii ndio ilikuwa backup…
[ATTACH=full]194222[/ATTACH]