uchinka telekramu......mexico edition

@Kihii Kiaganu akiwa kihii kidogo
[ATTACH=full]100990[/ATTACH]

Maninja, Kuspend pesa kwa dame haujamarry nikama kupimp gari umehire

[ATTACH=full]100991[/ATTACH]
[ATTACH=full]100995[/ATTACH] [ATTACH=full]100994[/ATTACH] [ATTACH=full]100993[/ATTACH]

Mahindi ni ya Mexico but invoice imeandikwa

“Two hadred ad fote fae mirrion onry”.
Mbembe Traders P.O Box 647 Mexico.

[ATTACH=full]100997[/ATTACH]

@gashwin wambie ata ukioshwa mtu haanzi na mkalalo
[ATTACH=full]101000[/ATTACH] [ATTACH=full]101001[/ATTACH]

[ATTACH=full]101003[/ATTACH] [ATTACH=full]101004[/ATTACH] [ATTACH=full]101005[/ATTACH] [ATTACH=full]101006[/ATTACH] [ATTACH=full]101007[/ATTACH] [ATTACH=full]101008[/ATTACH] [ATTACH=full]101009[/ATTACH] [ATTACH=full]101010[/ATTACH]

Hio ya maths kwanza unapata ngombe ako na double lesson anainua mpaka PE na half ya break time, hapo ndio backbenchers tulikuwa tunaanza kuangusha geometric sets chini in protest

Link ya hiyo telegram chief…

freshy sana, keep 'em coming

mamode wakuchukua time ya PE walikua wanaudhi sana

Peter_Mwangi81 reloaded.

ile war ungeona staffrom ingefanya utamani kuacha shule. PE kwetu zilikuwa afte na school policy there were no maths lesson in the afternoon so tulikuwa sawa

Ndio maana unakuanga na mafeelings kibao…ulipata PE overdose [SIZE=1](pun intended:D[/SIZE])

Hiyo ya Willis Raburu imefanya niraruke mbaya!