Uchawi Tz VS Uchawi Kenya

Hi,

Haya sasa wale wanaojua kuhusu mambo ya uchawi na ushirikina mkuje hapa.

Ningependa kujua nani wakali wa uchawi kati ya Watanzania na Wakenya.

Kama mjuavyo lazima katika mchezo mshindi lazima awe mmoja.

Wanaojua kuhusu mambo haya mkuje hapa

Sisi wakenya tunajua uchawi wa Tanzania ndio mwisho…ati ukitembea barabarani unapatana na jacket imekwama kwa hewa…maajabu haya.

Ha ha haaaa

Wakenya nina wasiwasi nao haiwezekan wakaukalia kimya huu uzi.
Isije kuwa Sumbawanga ndo wanakuja kununua kwa wakenya

@mshana jr

Hivi yupo huku kweli au ndo tushampoteza

Nilimuona. Yupo kwa ID nyengine

Nammiss sana kaka huyu

Hivyo wakenya wapo vizuri kiuchawi?

Hahaha

Mi sipendi kufuatilia mambo ya watu, Wachawi mkuje mtueleze

Eti wachawi mkuje mtueleze ha ha haa

Aisee

Kuna siku niliona katika channel ya k24 kuna mmama alienda kwa mganga kuhusu mume wake kutembea na michepuko basi yule mganga alifanya mambo yake,Mwisho wa picha yule mume wake alienda sehemu akajikuta amegandana na mwanamke aliokuwa nae,nilibaki kushangaa tu

Tetesi tu…

Aisee…wanatuzidi…kuna mwingine niliona mume alitembea na mke wa mtu…akaoza uume ukawa unatoa wadudu…

::oops::oops::oops::rolleyes::rolleyes::oops::rolleyes::rolleyes:

K

Weli mkuu…ndo maana nahisi wapo juu kwa haya mambo