hakuna kupata…er…dawa?
Hapo umenena Purr, naenda kupakwa majivu Cathredral, I think my color will change from yellow to grey for forty days
2 Likes
hata usioge…
1 Like
kwanini tusipate dawa…
1 Like
si mnajinyima, and i guess na…er…kunyimana…
ni vitu kama gani hamfanyi within these 40days of fasting?
Abstaining from any thing n set aside time for prayer…let’s say luxuries
okay …watu wengine tuko “no church in the wild”