Uasin Gishu cabinet (CECs) a sign of things to come?

Nimeangalia hii list nikashindwa kwani Eldoret na the larger Uasin Gishu hakuna other tribes/communities? It is the most cosmopolitan county in the rift FFS.

Na hata kama ni kureward voter blocks, 2027 utaambia nini the excluded?

Hapa ndipo unajia mbona WSR ni master wa siasa. His cabinet ameweka various tribes hata wengine who brought little votes in 2022, but anaangalia 2027 .
[ATTACH=full]470184[/ATTACH]

Shida iko wapi?

Almost all are road runners,the last one is the token potato eater . . other tribes not factored in .

kama huioni, move along to other threads mkuu

There is no problem at least they have rewarded shiny eye. Weka ya kisii tuone.

Weka appointments za ya rural home to fanye comparison meffi

Y’all must be hard of understanding.

I typed ‘one of the most cosmopolitan counties’. The rest can appoint banana farmers or rustlers for all I care.

weka ya Kisumu, weka ya Kakamega weka ya Nyeri,. Kama wewe ni wa kabila ingine enda county yako utafute kazi. In fact, at the county level the issue should be about clans and subtribes. ege, Bungoma is about Bukusus and Tachonis. Na kama umekerwa Choke!

Unataka services ama unataka kuwa served na mtu wa kabila yako? io cabinet haina shida, wacha kuangalia kabila za watu

Weka list ya Kiambu na Mombasa tuchambue pia

You have a point but remember this is Kenya 2022:D

Lete ya Homa bay tuone the face of Kenya. Hata kwetu Migori tumefanyiwa ile kitu

Sasa unatakaje?

At least Kisumu is not thaaat cosmopolitan…tulirusha mawe na tukafanya maandamano mpaka tukarudi luopolitan.

But Kuna mhindi mp .

Indicators of peace, security and economic potential in an area is a significant presence of somalis/muhindi traders/peddlars in the zone.

If you don’t find them …jua ni kubaya…na sijataja Centro.

Nilizaliwa huko but after 2007 wacha wakale wakae venye wanataka

Q good indicator are mps and mca’s…Kama County iko na mps and MCAs from one tribe then expect all CECs to come from one tribe…but kama mps na mca’s ni mchanganyiko kama pale nakuru then itabidi uchanganye cabinet

wamejaribu kuishi side by side. i have kuyo friends from langas and its been largely peaceful since then.

:Deldi kuna msapere 1 elected mca 1 nominated.

anyway I get the point of balancing the larger Kalenjin sub tribes.

No, that just indicates locals are schupid ama reli ilipita hapo 1902

Tuheshimiane nanii…