…na itabakia kuwa ivo:D:D
Yes, hata kwa map wako chini yetu
wa kenya kwa mikwara bana hamna anaewashinda tunawachora tu
Sasa umeona tu uanzishe dick measuring contest thread? MBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAFFF!!
Ki vipi Chalii, ki raslimali za asili, uchumi, IQ au riadha. Najua mnatuzidi kukimbia mbio fupi na ndefu. Mengineyo sijui
Nakubaliana nawe kwa 100%
[ATTACH=full]176046[/ATTACH]
:D:D WTF man! Hata jina Kenya imegeuka nini sasa?
ha haaaaa nayanukuuu maneno yote then wakuu walonituma kuwatangulia nitawafikishia
hakuna asiyependa CHINI hata wewe umepatikana kwa kutoka CHINI
mtoto wa nyumbani nakuona
Mnatuchokoza eh? kuna ile thread ya “Dar vs Nairobe” karibu uione kule JamiiForums
hahahahaha nani huyo?
It’s a Coup d’état, bongotalk loading.
mkuu hah haaaaaaa
we have been forced to come and interact here, no way aisee. Our JF is no longer active
kwelimkuu kikubwa tumepewa chumba twaweza endeleza yale ya awali japo tumepoteza uzi maridhawa kule
:(our JF dah…!..aisee Trump hakukosea kusema Arika ni mashii…tobo
Word.
Na hasa upande wa good governance,