Tz lorge

[ATTACH=full]170260[/ATTACH][ATTACH=full]170262[/ATTACH]

CARPETI ni nini kwa kamusi ?

:D:D:D. Hawa wenzetu wana mambo kweli. Lakini sikujua lorge nini.

https://lp.vg/emoticons/smilielol.gif wanamaanisha lodge I think

niaje @Yunomi

Niaje man umerauka mangware ama uko vector ukikunja barmaid :smiley:

kukamua barmaid ni muhimu baba

Ni muhimu lakini lap tatu na bado anadai

Hehehe this reminds of jana was talking to a certain armenian na akaniuliza my name nikamshow
And she was like i cant talk to you…nikaamuuliza mbona…and akadai ati my name is so disrespectful…nilipoenda google kucheki meaning nilibaki kinywa wazi.

don’t judge a man by the brokenness of his English, it means he understands another language.

Lorge ni Lodging kwa lugha ya kiswahili

Na hilo neno “Carpeti” ni kule kunajulikana kwa Kiswahili kama “utohozi”.

Ni kuchukua neno kutoka kwa lugha nyengine na kulifanya neno la Kiswahili. Kwa mfano, eropleni, baiskeli, jenerali, sekritari na kadhalika.

:DNiaje @Yunomi

Lakini kwa lugha sanifu carpet huitwa Zulia

Mkeka.

ngombe , kula makati kwa trump polepole

mkeka ni mat kwa kiingereza msela

msenge niaje

kama wawashwa sema nikutaftie mme.

mat ni mbacha