Tyrone learns the hard way Kunguru hafugiki

[MEDIA=twitter]1646853894532653057[/MEDIA]

Huyu tunaeza nunua at 40% off bei ya jioni, Tyrone alikuwa ngombe hapa

Its good she talked before marrying him

Wanaume hawana hasira Bana…Mimi hapo Kofi ya stima lazima itembee…huwezi niambia ujinga kama hiyo face to face.

Alafu mtu akiburuka kutoka 4th floor balcony unaskia kunguru wenzake wakisema “she was an angel…she didn’t deserve this…men are so heartless aki.”

:D:Dakigonga ukuta atarudia simp amlele njoti za team embubut

Iyo sio script? Kunguru is a 3/10.Hawa nigg*s wanafaa watembee E.Africa

Who are these peeps?

you are a weak man

wewe na nani?

Script or not hizi vitu zinahappen and I guess different people will deal with it differently.
Kuna elder alisema ukipenda mtu there will be a level of simping. Degree of simping will depend on your feelings and prior character development episodes and also Ile ubonobo uko nayo ( Kuna watu who never learn)

na The remaining 60%

Tyrone lambistic Sana… But better late than never… Kutafuta pre-wall soft Shaniqua sasa

The best slap? Getting more wealth and unleashing a softer younger woman. Nothing pisses women off more than that

It is from a Netflix series called “Love is Blind.”

Uko na kiherehere kijana ya kathonzweni, Rudi nyumbani usaiNdie mamako kupalilia mahindi kumenyesha humbwer hii , wacha kujifanya jaruo

niko na swali kwako we ngui, mtoto huwa anatambulika na kwa babake ama mamake?

but his response and composure is to be praised. he did not let emotions get the better part of him.

Hizo maswali ungeuliza mamako mkipalilia ndengu huko kathonzweni . Mushienzi Kama wewe unafaa kuwa umepelekea mama Bibi na watoto .

honest good guy