Typical Westerner Or Laker. White Maize Ugali Is Unhealthy

Niliwaambia white Ugali ni chakula ya Ngombe and lowers human IQ. That amount of Ugali is nothing but Empty Calories. Kama ni lazima ule Ugali Kula Millet or Sorghurm Brown Ugali

download (3)

100% SURE NI MBARUYA AMA JARUO

1 Like

Kula ugali kubwa hivo is a waste of food juu 95 percent will come out as waste.

Hamjawai fanya manual work. Mtu ukiingia mjengo au kulima shamba ni poa you eat something heavy ndio absorption ikue polepole. Mimi niliwai chapa mjengo…nilikua nakula ugali asubuhi…saa zingine nakunywa uji ya wimbi ile heavy na chapo mbili…that way unadunga job nonstop from 8 to 3pm.
Manual work haitaki chakula light regardless of dietary value.

3 Likes

You should always eat whole grains to harness all the nutrition you can get from it. Eating white flour may make your body to malfunction in old age

The guy will demolish that ughali for lunch na arudie a bigger portion jioni and will remain skinny.
Elders here, especially wale wanakaa chini the whole day, would turn into hippos if they ate like that.
Hiyo kazi ya shamba sio mchezo

4 Likes

@Ndindu wewe ni bonobos jinga. As long as one is able to burn off the calories, ako tuu sawa. Shida ni msee wa ofisi kimeza sembe kama patco. Huyo fellow bonobo umeweka hapo juu ako tuu sawa.

1 Like

Msapere @Ndindu anakula mashed potatoes in the name of mokimo na mchele suddenly amekuwa nutritionist :fu:t6:

1 Like

Mbona anakaa mchimba kisima, hio anafaa kupack ugali vizuri kwa tumbo. Umeangalia street foods za Americans ndio upayuke ugali ni unhealthy?

ugali ni ufala

Doesnt matter…dude is healthier than you. Look at his physique then look at yourself in the mirror. Wewe umekula waru na mchele tangu ukue mtoto…alafu uzeeni kazi ni choma na chips yet you here feeling sorry for a dude who has almost zero fat and proper muscles?

I bet he’s not even past 50 years. People who do manual jobs often age at a very fast rate.

White ugali ndio inafanya elders huku waulizie Viagra

Kuna siku nilijaribu kunyonga na ugali warm. Sikumwaga