Alafu uliona affordable house hazina place ya kuanika manguo,I wonder iyo ilipita aje ao ma engineer
Hio ni korona period manze. Hata mabati na ma D10 zilikuwa zikichezea apo.
Sjui ile Simiti ya 42.5 imefikia ngapi kama hii ya kawaida ni K
Yuletapeli:
Last week 815, leo imefika thao.
Na bado mnataka kutoa kasongo kwa kazi. Improvements happening daily..
last week nmeshika na 930 hapa Kimilili
Kodiaga:
…
Yuletapeli:
Last week 815, leo imefika thao.
Na bado mnataka kutoa kasongo kwa kazi. Improvements happening daily..
last week nmeshika na 930 hapa Kimilili
Next week sijui itafika ngapi
Hio ndio mimi huwa natumia
Wakameat:
…
Eng_iti:
…
Real2:
Hata hiyo 820/bag iko juu saidi.
Good ol’ days bag was 640
Hio ni korona period manze. Hata mabati na ma D10 zilikuwa zikichezea apo.
Sjui ile Simiti ya 42.5 imefikia ngapi kama hii ya kawaida ni K
Hio ndio mimi huwa natumia
@Yuletapeli unataka evidence?
Mimi niko na beef na kasongo. Ukijenga apartment zako hapo ruiru Oj ndio utajue bei ya d16 inabadilika kila siku. Chema wanakuambia bei ya chuma wanakupea daily(bei ya leo sio ya kesho). Kesho iko chini, kesho yake iko juu, yaani kasongo ametumalisa. Simiti hutoka 700 hadi thao kimchezo tu.
MATAHARI:
…
Real2:
…
MATAHARI:
mumejengewa affordable house
internal-view-of-a-vertical-slum-2M6CP48866×1390 190 KB
Not everyone aspires to live in a vertical slum
Alafu uliona affordable house hazina place ya kuanika manguo,I wonder iyo ilipita aje ao ma engineer
ata balcony hasina…fuana fuana
Ni simiti gani kwanza?..Quality matters.