Two small struggling teams curtain raising for 11pm match.

Chelsea tunaeka kitu ndaniii

What a boring game

game imekuwa chonjo, na timu iko na 4 league titles against 20 ni small team?

Manchester teams are all small teams

You can say anything to your satisfaction.
OTOH, which is a/the big team? According to you?

ngombe ya liverfool niaje

The onli big teams are Bayern and Chelsea

Mr. grand pricks niaje?

Saffi sana mbuzi hii

Yaani unaweza taja Chelsea? Afadhali ungesema Everton

Team kubwa Chelsea, Hoyee

Team yenye imelimwa na Everton mara tatu mfululizo?

The small struggling team is 2 points behind Chelsea, with a game in hand.

wacha washike adabu sasa.
karibu waanze kusema wataenda the rest of the season unbeaten.
Games kutoka hii wekend hadi wiki ya pil jan zitafundisha watu adabu

Nakwambia zinaflow kama maji,next week Kwanza Tuesday Wednesday and Thursday

na nyingi ni top 7 against each other.
top 7 itachange sana kutoka hii wiki hadi Jan.