Incident no 1. Sparta was in kamuiru primary school,na closing day ndio ilikuwa time ya general cleaning.
Boys wanaendea maji na girls kazi yao ni kuosha…
Closing day ilikuwa ile siku iko na furaha juu munaenda one month nyumbani,sasa iyo siku ni ya kujibamba ukipewa report form.
Maji tulikuwa tunaendea outside the school a walk ya 25 minz kuenda na kurudi…but iyo siku juu ya traffic ya student ata an hour inapita.
Apa sparta alikuwa class 6,iyo siku tukadecide kuenda place inaitwa kwa maigee (it was a dam) it was feared because most people go there to commit sucide and also used by criminals to dump victims…
Iyo siku tukiwa 6 students tuka amua kuenda kwa iyo dam na vibuyu…
Apo tukafutana kama mbuzi hadi kwa dam, ilikuwa karibu na coffee plantation kumejificha sana…apo tukafika mimi na jamaa anaitwa amo ndio tulikuwa vijana kusema…
Tulipofika tuka anza zile game za watoi kurusha jiwe kwa maji ina bounce bounce… .maujinga izo munaelewa…
Kiasi Amo akatoa uniform akaruka ndani…tuna mcheki akiswim kama pro…anatuencourage tuingiyee sio kudeep…
Apo apo sparta na pysce zake akatoa nguo, but l have heard of people drowning there so nikaruka na kibuyu…kujoin amo
Nikiwa na kibuyu ni hard kusink as long as umefunika poa and dont let go…
Sasa mimi na amo tunachocha the other four classmate waingiye …
Moja moja wanatoa nguo wanaingia …kinuthia boy moja ndio alikataa kuingia
Ikafika point tuna dive kwa maji tukitoka…tunafanya sommer ile ya mbele… Na wengine ya nyuma
Apo kinuthia hageresist iyo utamu akaruka na kibuyu yake…
Tulijibamba for a while then tuka anza kupataa courage ya kuenda far ndani… Apo ndio mistake tulifanya… Maji ilikuwa colder uko mbele na current ilikuwa strong…na ule mtu swimmer ni amo tu…
Sisi tukijibamba tu kinuthia aka lose grip ya kibuyu yake akainkia panic mode…aka anza kuchapa glass za maji…sisi tunacheka tu tukidhani atachapaa maji atokee
Nikamkaribia na kibuyu naye akanipandilia juu …nikaingia chini ya maji nikachapa glass kadhaa .sisi wote tuna sink…apo tena kibuyu yangu ikaenda…nika ingia panic mode pia…we are drowning sasa
Nikatumia miguu kupush kinuthia off me ndio nijisave juu tuna sink kama titanic…eventually akaniwachilia
Nikajikazaa kuchapaa maji na miguu to try kutoka iyo deep side to the shallows … energy nayo hakuna eventually nikafika point naweza simama to catch a breath…
Kinuthia naye maji alikunywa vizuri… Thank God amo came to the rescue …kudrag his dead weight to shores…
We were terrified,wote tunalia zile fala zingine ata Zilikuwa zimevaa hadi uniform…na zikakimbia shule
Kinuthia was disorented anatapika tu hakuna kitu anatoa…Amo was the bigger man kumtuliza na pia kutushow kila kitu itakuwa poa…
Kinuthia fala naye hataki kuvalishwa hadi uni… jamaa macho ziko red hawezi tembea
Ikabidii tumembeba mimi na amo
Fast forward kufika chuo, news zilikuwa zime spread…headmaster na walimu walituchagamkia…
Kinuthia akapelekwa hosi na wazazi wao kuitwa
Sparta na amo staff room, kutandikwa kama burukengee
Na zile fala zilipotea pia, sasa iyo haikuwa kichapaa juu mathee ya kinuthia alikuja hadi shule akanirukia na slaps tukiwa na amo…tukashikwa ati tupelekwe police watoto wa shule… Apo kwa cheif …sasa kupelekwa hadi jamaa moja alikuwa amejikojolea juu ya kichapo. … . Mathee alifika akaelezwa vile kume enda nikajuwa mimi kwishaa…
Mathee akaniuliza mbona uso yako iko ivo nikamshow mama kinuthia alinichapa…
Akaniuliza ni mwalimu nikasema apa…mathee akasema Akahura mwana wakwa kai ena ngoma
Mathee aka jam ile mbaya akanitoa uko … Walimu wamenyamaza tu…
Mimi na mathee uyo hadi hosi pale kinuthia yuko…
Mathee alirukia uyo mathaa nduru ikatoka kama mtu ameuliwa … It was just drama after drama… Sijawai ona mathee amechapaa mtu…
Alikuwa anawika ukahura mwana wakwa weeeh wena ngoma…
Mathee akashikwa na karao pamoja na mama kinuthia…
Mimi nikachomoka nyumbani
Jioni naona mathee amekuja na superloaf akanishow everything is ok… .she has my back.
Nimechoka second incident nitapost badayee