Twitter harshness

So I replied to a tweet from a guy who thought it wasn’t cool to expose a matatu without brake lights and sacco name to NTSA

Nikamwambia his dad wasted his 30 seconds in bed and I hope he never bedded the guys mother again to avoid siring more fools.
Now I can’t access my account.

Share your handle, last tweet and location of the frequent tweets for more assistance.

:smiley:

Apa hukuambia hio mujamaa vpoa

Saa zingine watu husahau na kuanza kutusi watu other sites na kuwaambia wao ni mbwa ama chieth

nilimalizia na kuita yeye Ghasia takataka

Unafaa utembezewe mucakwe na morio wako utulie

Huko hakuna watu ya kijiji,everyone is sensitive. Niliweka D- kwa comment,karibu nikulishwe ndengu after msee anithreaten vile atanipata,twitter wakanitupa gulag sixteen days

Twitter siku hizi kuna umama sionangi matusi kama kitambo.

Twitter na FB ni umama tupu imejaa. One nasty word and you find yourself in Siberia sooner than expected

mimi i was blocked for using a paid hashtag from another country. Siberia 3 months juu ya one hashtag used 2 times