Tweeter Kwa woofer

I know I am a peasant.

Hii mziki nasikiza Kwa sayona 1149bt haina kelele mzuri ya tweeter, naweza ongezea ingine extra kivipi bila kuiharibu?

Nunua hometheatre wacha kusumbua elders na vitu za kishenzi. Hizi ni vitu za post high schoolers ata my son in high school hawezi sumbuana na such nonsesnse.

Ni place inaitwa ivi? I’m not farmiliar with Kasarani and its environs

Home Theatre Systems - Buy Home Theatres Systems Online | Jumia Kenya

Another episode of Pimp My Sayona

Jameni hamna huruma?
The owner of Sayona is richer than you FYI na hayo maringo yako.

Asante

Sasa unaambia nani?