Tuvae leso leo ni holiday. Desperate Kenyan women wako na CRB pale Facebook ya kujua cowives

Our mole gained access kwa hii group ya wamama that acts as a CRB or Cadinya Reference Bureau.

The mole was gracious enough to send us screenshots na kama kuna talkers kadhaa wameanikwa…

Women are very desperate :D:D:D:D:D

Leo degree si muhimu

Ain’t no way:D:Dpia post walls wanataka kusalimiana

Wanaume watajitetea tu wachukue slices na waangie Embobut.

Kumbe wako na database ya wangapi kama sisi? Maajabu!

Bana madem wengine hapa hata bure wacha ikae

No way uko na PHD ukitumia (tu).

Embobut haitawahi jaa
yeet-bush.gif

“Wangapi” :D:D

Enyewe imefika mahali wanawake ndio wawindaji haramu, ukikaa na rungu yako vibaya, mumama anapita nayo anashika mimba anakuletea responsibilities anakukwamilia

Crb ni database ya embobut

Toeni picha zenyu online

Wkiingia Embobut Watakutana na @Sokwe mtu @Simba Marara na @Fisi

Women opinion does not matter.

Hapo hukosi @ChifuMbitika :smiley:

:D:D:D
Hii jina wangapi imesambaa sana. Hata wanawake wanaulizana wangapi before wasalimiane. Ubaya sasa ni post wall kama wote.

Na wanaume wamekuwa wajanja sana siku hizi wameona kuendea 20 year olds ni kazi ngumu juu ya demands za upuzi wanakuanga nazo so wameanza kuendea post wall women wenye wanajua ni ngumu kuwakataa juu hao wanawake wamechapa na hawapati attention. Jamaa anarusha Kiswahili hapa na pale anadanganya post wall vile amempenda, jamaa anapewa slices roho safi. Akimalizana na slices pap Embobut. :D:D Vile @uwesmake husema shimo mbaya ni ya nyoka. Hata kama ni post wall shimo ako nayo.

Hapa wamemaliza men.

How low can women go?

Watatafuta hadi kwa gallery during meet ups. Or they take your pic kisiri

:D:D tumepigwa checkmate …hao wamama lazma ni talkers huku

Any new women i meet mi huwapea same fake name na kuwaambia i work for Al Ghurair Printing & Publishing as a remote software engineer so mi hukua tu based in Kenya most of the time… I am a ghost to most women i date, they think they know me when they don’t

Kwanza background check yao Inakaa robust sana. Hata watoto kule wanasomea banae.

Wangapi for women works the other way round. Ikiwa na kakitu utapata wanaingia inbox. Shooting themselves in the foot.