Tutafute pesa jamani. Jomo Gecaga anamumunya mali safi






7 Likes

Who are these people?

5 Likes

who are they? na kupiga photo hapo hulipishwa pesa ngapi?

6 Likes

His grandfather was the founding president of. Ke, then his uncle became president.

9 Likes

8 Likes

They hired a mzungu Santa to entertain their kids on Christmas…


16 Likes

Hapo kando Kuna Santa Claus mwafrika
@PERDITION aka Santa Claus kam hivi kiasi…
Kumbe hii ndio side hustle.

16 Likes

Hii si ni lanye tu ya kawaida…

19 Likes

Hiyo ni pesa yetu. These guys are very comfortable. Hawajui one day there must be judgment? na si ya mbinguni. Kama ni mimi, ningekuwa nimefanya charity mbaya. Kupeana shamba kwa squatters hapa na pale kuna shida gani, after all mtu aliiba.

13 Likes

Ni lanye, lakini si ya kawaida :joy:

3 Likes

Aiiii pesa ni mzuri banae…Mali safi sana hii

2 Likes

Again…mali ya dunia tutawacha tu hapa. Huwa nasema Kuna time hii dunia kulikuwa na watu 2000 years ago, 3000 years ago…hata ijulikani man alianza ku exist lini but unapata msee anataka Mali yote ya dunia. Apelekee wapi?

7 Likes

Dudu focus jameni! Tattoos mkisema ni ishara ya msherati ama inabadilika hio rule…sio constant?

3 Likes

Hakuna Mali safi iko na tattoo…
If I had that kind of money I’d be busy with clean fresh 18-23 year old petite chics, not bed to bed midfielders

10 Likes

Anaitwa Loise Hanningan mother also followed the same path but don’t all women marry for money. Lakini watu wasikuwe na bile sana.Live life on your own lane utakuwa na furaha si kujicompare na watu wengine.Hii dunia tuliingia to serve different purpose. Also these are not people to aspire to be.

8 Likes

Zanta clown

2 Likes

Kiguta amempeleka mbio wacha ajitulize na mali si safi vile.

Ni nini wanavutana nayo

hii singo matha ndio mnaita mali safi? @Sanchez11 mzee mashavu kweli wewe ni burukenge tuu

2 Likes

I’ve liked the post just because of the hips and sianda. But reduce your umbea

3 Likes