Kuna talkers hukunywa tusker na ka nyama ama unasikia talker anakushow hookup 3k ni pesa mob.
Ati heri anunue tusker na nyama choma. But kumbe nyinyi ni gumegume
Kuna talkers hukunywa tusker na ka nyama ama unasikia talker anakushow hookup 3k ni pesa mob.
Ati heri anunue tusker na nyama choma. But kumbe nyinyi ni gumegume
Wale tumezaa tukamaliza tuko tu sawa. Weekend lazima white cap ziteremke kwa koo
True
I hate Tusker.
Bado kuna mwendo. Umezaa nje kweli just incase kuenda mrama
Mimi nafuata chaina, 1 child policy. Apana zaa kama kondoo