Tusker Cider

@Young wacha kiherehere ya kuita @introvert What @spear has written stands because he can claim he is talking of lab tests which makes his statement technically correct.
@spear saa zingine wachanga kugwaya hawa wasee wa osung.dll. At times wao ndo wenye makosa ya osung dll

2 Likes

Who remembers hardy’s cider?

Pia kuna Savanna na Hunters Cider…Kweli soko ya pombe iko hii Kenya

1 Like

Hii ni cider not beer

1 Like

Tusker Gold was taking like Seven na morning niko fresh as a cucumber no hangover no memory loss

Mimi ni mtu faithful to only one beer brand na ikiwa ni makali ni Gilbeys peke yake. Sijui mnaruka rukaga kwa brands mkitafuta ulevi wa aina gani.