So, I just remembered zile mitaa nishawai kaa katika hii hali ya kuvumilia kua mkenya. Some good memories, zingine not very pleasant.
Maybe tushawai kutana bila kujua hii ni villager mwenyangu. Ama ni Nyenzangu…ok, tuanze :
Not really in chronological order but just some location details na slight description.
Ukiguswo useme,
1. Langas, Eldoret.
Used to stay pale kwa ploti ya Kinywa, Opposite Baptist Church, Kisumu Ndogo Langas. Tukifunga shule (Highschool), kazi ilikua kupiga setti mathree za tao tukiskiza Sanchez Frenzy na mambo ka hizo, na kudandia hadi Poly, kudondoka na kutegea ya kudandia tukirudi Kisumu Ndogo Center. Hizo siku Bully wa mtaa alikua jamaa flani alikua anaitwa Ngolongolo, Concordi flani hapo. Hakua anakosa kisu at any moment. Kuna ka-dame kalikuaga kamenikufa pale Bapu, Colletta. Na sikua natakaa kukaona. Utoto ya mono. I wish ningemkuta sai. Inaeza toa sparks kama za welding.
[ATTACH=full]73592[/ATTACH]
2. Elburgon
Warubaga kuria kwa fuda. After High School, I had a stint at Elburgon Town. Used to live Nyuma ya Digitline Computer College. Kwa zile ploti za Biashara Master. Somebody gotta know Harsoft Computer College here. Sammy Karanja, Jubebe… Mastima, DFO (District Forest Officer), Salama, Eastleigh na Kunyambis zooote za pale Kasarani.
[ATTACH=full]73593[/ATTACH]
3. Mamboleo, Kisumu
Mamboleo…Wathorego…Research. Ndo zilikua mathree. I lived in Mamboleo far back when Kimwa was still operational pale Kondele. Wasee Wa Nyang’ori High na Vihiga High walikua wanapenda kusneak chuo wanakam Kimwa sanaaa. Sijui walikua wanafika aje Chuo kabla ya 6:00 AM
[ATTACH=full]73594[/ATTACH]
4. Njoro
Used to live Kando ya Biashara Master Sawmills, Opposite Mastermind Tobacco. Mnajua wale Shiny eyes na meno ya Chlorene. I think that’s the cradle. One Dry ass Town but magizani, ustake ona
[ATTACH=full]73596[/ATTACH]
5. Roysambu
Niliporwa Roysa. At Gunpoint. That’s all I can say.
[ATTACH=full]73598[/ATTACH]
6. Mkomani, Nyali
Used to live close to Nyali Cinemax. Kazi ilikua ku-duff pale Opposite Fort Jesus kuna a small Beach we used to hang. Walijenga English Point Marina hapo Kando. Sweetest Memories. Show ground, Links, Ratna Square, Kongowea wakamba nao. One fascinating thing was the Bunge la wazee, where guys watch News jioni in a makuti shed, once the news was over, they would start discussing each and every news item hadi saa nne, saa ya kuosha macho. Na kuosha the rest for the physically and financially courageous.
[ATTACH=full]73595[/ATTACH]
Kuna nyengine zinastahili mention but kazi ni mingi. Tutaendelea mda ukipatikana. Meanwhile, Somebody must know at least one of these places.
Yours, Mkenya Mzalendo
[ATTACH=full]73611[/ATTACH]