Turnboy chronicle 2

I just waited for them waede breakfast, nka assemble my belongings Id na PP na nkatoka apo njee kuota jua.In my pocket nlikua nmebakisha kindu 20k za UG,deree wakatoka na kueda kwa hoteli. Teke teke Mimi huyoooo nyuma ya gari na kutoka mbiooo without looking back. Now here I am without any clue jia ya my way back do ganii, mi nko zangu jogging. It happened that there was a taxi in that route which takes people to a first ka town,kabla niifikie it drove off. Tried to wave at it but they dint notice, asked some Guy apo kama kuna gari zingine upitia apa wakanishow hiyo do hupita apo nkajua boychild nimeumia. I called msee wa nduthi nkamshow tuifikie na nkamdunga 5k after kuipata. We traveled adi ako ka town na nkadunga deree 10k. Now am left with 5k which is enough only for lunch, kuuliza msee how much they charge from there to Kampala, he told me kindu 20k which was almost 800 Kenyan money.
I decided to walking upto Kampala hopping that I will meet the likes of akina @meriamata. Walked kindu 2km na kufka kwa ka town flani, nkachill hapo but skuona gari ata moja ya Kenya. I sat down apo kado wait for the good Lord to deliver me from this mess I did to myself, kidogo nkaona gari ya Kenya ya mswahili by looking at it nkajua mambo swali. I approached the driver na kumshow" kaka miye kapata shida apa Uganda naomba usaidizi kanipe lifti mpaka Kampala unibwage uko ntashukru sana". Kumbe msela ana momo kwa cabin juu ye ana turnboy, he didn’t even replied wakashuka na kuingia hoteli na mi nkabaki apo hohehahe.

I made a Big mistake nkasema better nianza footing to the next ka town.after moving kindu 800M nkacheki mbele nkaona akuna sign ya ka town, then looking back nkaona siezi rudi.Decided to continue with my journey, this time round I tried to wave Lorie for a lift but all in vain. Nlikua na kofia like zile jaramogi used to wear nkafikiria wasee wanakataa kunipea lift wakidhani mi ni mwizi,nkaitoa na kuitupa and that how I lost my favourite hurt.
FF. I reached town flani having walked for almost 15km telling God" aki God ukinifikisha home I will serve you for life". In this town I found a Kenyan guy buying some charcoal and I approach him and he offered to help me. But devil is not a boy, my phone was somewhere charging ,I told him anichill kiasi niedee simu and he agree. Mimi huyooo tekeee adi place ilikua,kupiga corner nkirudi Lol! Washa ondoka.It was kindu 5pm, sjui ntalala wapi, no food no money. I called my mum nkamshow if she want to see me again she must send me 1k na nkazima simu. Lucky enough as I was wondering what now nkaona msee ana speak kwa nkajua waaao huyu will help me. I greeted him na kumshow my story told him I want to sell my phone npate fare ya adi kampala akanishow follow me like Jesus. Weuh now we are heading to a police station, nkajua siku za mwizi kweli ni fote. We entered kwa ka room and he asked me to sit down. give me your ID, PP na phone. I haded him all, maswali kidogoo nkajitetea, he gave me back my I’d akanishow niede nkatoe copy nmeletee,to which I did. Now I was wondering kwani deree alienda kwa mchawi Lol. We moved adi stage waiting for a mathree sasa, he gave me back my id na passport and left with my phone now. He is now trying to be good to me and started giving me some story ati yeye ni karao na ame toka side za Busia. Kumbe mjamaa alikua anataka gari ikikam alipe na ahepe na simu yangu bila kunpea anything else, to which he did but he gave me 2k na akalipa gari, I prayed lords prayer before we drove off kindu 5 times. Now I was sure that if I reach Kampala I won’t lack a caring kenyan.Its now 18:00pm, we arrived at around 1am. Sasa Mimi huyoo adi William street where we used to offload salt, I approached watchii and cheated him nasubiri deree ameeda na kifunguo. He told me nichape straa then nicome, good thing with Kampala is akuna wezi unlike apa Nairofi, mchana ni kuchafu but they clean it during night time always busy at night. I decided to look somewhere to sleep and I went direct to a Police station nkalale uko morning I will find help, I see some policeman standing in a kasmall like container and I gain courage to approach them. But they decline to my heeding,decides to walked around only to find another group, approached them and they agree I stay there till morning. Gave them my ID na PP na nkalalia kiti apo njee.

The following day kindu 6 ivi nlitoka apo in search for a friendly Kenyans. I sported gari moja ya Kenya na nkaeda direct adi apo, nkapata turnboy ako rithoo but deree ako asleep. Tukabonga naye kiasi but he told me ni wait deree aamke. I was soo hungry nkaamua kufungulia simu and check whether mum have sent money,weuh nkapata 1500 na I tried calling you kama 500.I withdrew 500 na changed it to 15000 za UG. Back kwa gari nkapata deree ameamka tukabonga naye na akakubaki mwito sanguine, to my surprise he was from GN (Gatundu North) na mimi GS and we became friends. And that’s how I find my way back to my mother land
Nlipewa lift from Kampala upto Ruiru

23 Likes

@bjurmann umekipata

Hapa kuna part haija add up.

  1. Kumbe mjamaa alikua anataka gari ikikam alipe na ahepe na simu yangu bila kunpea anything else, to which he did but he gave me 2k na akalipa gari
  2. I was soo hungry nkaamua kufungulia simu and check whether mum have sent money,weuh nkapata 1500
4 Likes

I have shortened my story nlichoka na ku type

This situation was somehow tricky jamaa alisubiri gari ifike juu there were many people who were travelling, he forced me inside juu anajulikana then gave me money through window.

Yeah. I thought he sold his phone

Kwani hukumuachia simu na alikupea 2k;);):(:mad:

Adventure. Lakini I hope uwizi uliacha.

Aaai ni kama nitaendea like yangu :eek: we have been conned ama?

He didn’t gave me back my phone.

na hapa ulitoa wapi simu? uliuza haga nini? plus uko na 2k plus hiyo ya mathe 1.5, haungefika kenya nazo?

[ATTACH=full]140783[/ATTACH]

Here I have tried to shorten my story githee. Iyo simu nliomba huyo turnboy.

H

Hii stori haiingiani kapsaaa

Hesabu haijaingiana