Turing Coding Challenge

Nani amefanya hii challenge and how are they? Am doing pressups for one PHP and Laravel after passing the Tests, it seems they have lots of opportunities hapa nje. Juzi niliona jamaa akidiss Zukabaga kwamba alishindwa (zukabaga) kupita Turing eti haelewi code.

Unasema nini bonobo?

oops, ningeiweka kwa Tech, wewe naona hauko radar hata kwa general knowledge

Sio ngumu I had done it sometimes back
On September
I failed on the last stage
I didn’t bother to retake
Nimeona huwa wana nitumia too many mail ni retake
Bt am usually committed

Turing naingia hii mwaka for js stuffs. I don’t know why you all think php is easy to crack

Awuohlan shatter manaluo.

PHP has so many available resources, kama kuna kijiji ya Programming Languages then PHP ni Village Sponsor, akina js na react bado ni VE