Turdmeam Amechoma Kijiji

The village is unnavigable and the discource app ia useless isipokuwa kuscrape user data

4 Likes

Kijiji imelemea mimi

3 Likes

Slow minds. By now nishaizoea

2 Likes

Kumbe uli manage kufika hii place, Kuna elders bado wanatafuta direction. Kijiji nikama Kuna curfew. Elders “hawatoki nje” :grinning:
(Hizi Emojis zinakaa tu za kutumiwa na madem). There was something manly about the green emoji. Machos tu.

Sijapatana na watu wa MGTOW bado hata the the “president wa ktalk” hayuko. Hii Ina feel kama Ile transfer ya kupelekwa shule ingine. Hakuna chokosh war

6 Likes

@uwesmake was here just the other day recommending the @administrator for the change. He mumbled something about change being good.

2 Likes

I’m starting to get used to the new platform. Sio complicated. Nimekuwa fifty fifty nayo but Sahi naona wakuu washaland

1 Like

Nishaijua 100%

1 Like

Leo ndio nimepata time ya “kuzunguka Kijiji”. Sahi sio Kijiji, it’s now a city.

Unataka trophy Sasa?
sarcastic sarcasm GIF

1 Like

Nataka mamako

1 Like

Niaje mujamaa. Nmeland banawe

1 Like

Hehe, karibu kaka, ambia @Electronics4u akusho chumba cha wageni. Alafu akufanyie orientation :joy: pia he can send someone to show you around.

2 Likes

Hapo kwa emoji ya green nakuunga mkono. @Electronics4u waturedio, kende mosi fanyeni jambo.

2 Likes

Ilibidi nirudi NV tena. Hujuma :angry::angry:

kijiji iko imara

Kamefutwa