Kwa kuwa tumejua nini cha kufanya tufungulieni, MADA za moto tutapost KENYA TALK zile za kuwapongeza wabunge zitabaki JAMII FORUMS.
Ngoja nipige parapanda…wana jf wote waje huku
JF ikifa, mbali na siasa, kuna hazina/ kumbukumbu kubwa sana ya elimu, biashara na mambo mbali mbali iko hatarini kupotea kabisa.
Najua hata waliohusika kufungia Jamii Forum, popote walipo nafsi zinawauma. Naomba Mungu kila aliehusika na udhalimu huu maisha yake yawe ya taabu sana
Wote tuseme Ameen
Bora tuhamie huku kwa muda
Serikali inajaribu kupambana na wakati. Hizi ni zama za utandawazi kufungia mitandao ni sawa na kufukuza upepo, wanafunga hapa tunahamia pale
Kweli kabisa Ndugu kulikua na madini kibao Jf
Kweli ni Ngumu sana kwa zama hizi ukibana huku kunafunguka kwengine kazi kwao sasa.
Itakuwa poa sana Chief, na hapo ndio JIWE atakapoyafuta urafiki na Kenyatta ili alete fitina na huku.
Hivi haiwezekani Ku paste Yale material huku?
Unless JF admin wants to share the info because as things stand info yote is out of reach
Tatizo ya siasa za TZ hao jamaa wameanza kumind sisi kukutana huku ugenini;
Yaani kwa dunia hii ya leo huwezi na nasema tena HUWEZI kumzuia mtu kupata info; hii si miaka ya 1970 jamani; mi nakumbuka hata mezani baba ndiye alikuwa na rights za kuongea sisi watoto ki kimyaaa no; so try to apply this policy now nyumbani kwako uone if its gonna work out; mtoto wako wa miaka 9 atakavyokutoa baro… baba mjinga mjinga wewe.
Pu.bu zao kabisa
Wazee wa kupenda kusifiwa.
Ila ujue kuna watu tutaingia matatizoni k
Kwa sababu ya kushindwa kuvumilia.
Lazima tutashindwa kuigiz
Tupange ka ratiba kabisa ili wakitufuata huku tujue tunaelekea wapi. Yaani hapa ndio tushakua akina ''VASCO DA GAMA"
Na hili ndio kosa tulilofanya JF hatukuambiana tutakutana wapi
Time will tell, UHURU utarejea
Ha ha ha Karibu Mkuu.
mkuu tushakuja huku